Tunashukuru kwa kutazama muendelezo wa AZNAS LINK , hii ni chapter ya 3 BUSINESS TIME, Hakikisha una COMMENT, LIKE , SHARE na Ku SUBSCRIBE ILI USIPITWE KWA PROJECT ZIJAZO, uwepo wako ni muhimu kwa familia ya Hip Hop.Kaa tayari kupokea tuzo za Hip Hop kwa mara ya kwanza Africa Mashariki na kati ZITAZOFANYIKA MWEZI NOVEMBER na pia usiache kupita kwenye chanel ya Aznas Media ili kupata interviews kali za wasanii wako pendwa na kuwa karibu na jamii ya Hip Hop. #AZNASAWARDS ENDAPO UTAKUWA NA LOLOTE LA KUSHAURI tupate kupitia music@aznas.co.tz or awards@aznas.co.tz
31 comments

Boshoo salute sema wanangu wote humu ndichiii mmeua sana yaan kila mmoja kaitendea haki beat
Nakubari nakubari
Sipati picha solo angekuwepo live
Songa
Acha upepo upulize tuone makalio ya kuku😂
Maarifa mtoto wa baba
[[Si tunaulizia michongo we unaulizia bange?]]
Wanangu wa kibaha maarifa
😂😂😂😂si lazima nitoe singoo matako yenu bado natrend bongo,., Kala jeremaiah kauwa , black queen 👸, Korongwe finest mmhh,, songa 🎵, solo thang kamaliza
Kama nilivyosema Nakuja nakuja kama unakubali Maarifa kaua weka like hapa
Kala ame ripuwa🎉
Kala ame ripuwa🎉
Sugu ❤❤❤
Maarifa ni kichaa😂
Maarifa kutoka kibaha finest
Solo, kala and songa blessing
My brothers❤❤
Ukinizulum unatangulia mbinguni
Jeremiah na maarifa ,they are on fire
Aisee🔥
matusi ya nini kwenye mistari hata kama umetoka morombo
https://youtu.be/KzUIUtZGms0?si=i2c_oGXWt4XSccsw
Mwaka wa hip hop huuwp
Achatu upepo upulize utaona matako ya kuku 😂😂😂 maarifa 🙌🙌🙌🙌
BOSHOO NINJA 🔥
Songa ameuwa
Sugu kasemaje apo mwisho 😂
Kala heshima kwako 🙌
Kala Jeremiah 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Hapa kila mtu kauwaaa
Umu karamu imetumika ile mbaya
Mkongwe suguuuuuu,,,🔥🔥🔥🔥